Matthew 5:20

20 aKwa maana nawaambia, haki yenu isipozidi haki ya Mafarisayo na walimu wa sheria, kamwe hamtaingia katika Ufalme wa Mbinguni.

Kuhusu Hasira

(Luka 12:57-59)

Copyright information for SwhKC